Veta Somo

Programu Mpya ya “Veta Somo” Darasa Kupitia Simu ya Mkononi

Teknolojia inazidi kukua duniani kote pia tanzania pia haiko nyuma kwenye hilo pia, hivi karibuni kampuni ya simu ya Airtel kwa kushirikiana na Chuo cha mafunzo ya ufundi stadi Tanzania yani VETA walishirikiana kuzindua programu mpya iliyopewa jina la V Somo au Veta Somo.

Programu hiyo iliyo-tengenezwa maalumu kwaajili ya kumsaidia mtanzania kupata mafunzo mbalimbali moja kwa moja kupitia simu yake ya mkononi ilizinduliwa na kampuni ya Airtel hapo jana, akizungumza na waandishi wa habari mkurugenzi wa Airtel Tanzania alisema kuwa wanategemea programu hii itafikisha elimu ya ufundi stadi kwa vijana wengi hapa tanzania kwa urahisi na haraka zaidi. Programu hiyo imesha anza kufanya kazi na inategemewa kufikia vijana wengi wa kitanzania siku za usoni.

Vsomo
Price: Free

Comments

No comments yet. Be the first!

Previous Post
Huawei P9
Huawei P9 Kuzinduliwa South Africa
Next Post
uber kuja dar es salaam

Huduma za Taxi za Uber Zaja Jijini Dar es Salaam